Native Bible

Psalms 40:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.

Psalms 40:17 in English

Psalms 40:17 · Berean Standard Bible

But I am poor and needy; may the Lord think of me. You are my helper and deliverer; O my God, do not delay.

Context

15Wale waniambiao, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao. 16Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Bwana atukuzwe!” 17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.