Native Bible

Psalms 39:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu.

Psalms 39:8 in English

Psalms 39:8 · Berean Standard Bible

Deliver me from all my transgressions; do not make me the reproach of fools.

Context

6Hakika kila binadamu ni kama njozi aendapo huku na huko: hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; anakusanya mali nyingi, wala hajui ni nani atakayeifaidi. 7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? Tumaini langu ni kwako. 8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu. 9Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 10Niondolee mjeledi wako, nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.