Native Bible

Psalms 39:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.

Psalms 39:9 in English

Psalms 39:9 · Berean Standard Bible

I have become mute; I do not open my mouth because of what You have done.

Context

7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? Tumaini langu ni kwako. 8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu. 9Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 10Niondolee mjeledi wako, nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako. 11Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.