Zaburi 39:10
Psalms 39:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niondolee mjeledi wako, nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako.
Psalms 39:10 in English
Psalms 39:10 · Berean Standard Bible
Remove Your scourge from me; I am perishing by the force of Your hand.
Context
8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote,
usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu. 9Nilinyamaza kimya,
sikufumbua kinywa changu,
kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 10Niondolee mjeledi wako,
nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako. 11Unakemea na kuadhibu wanadamu
kwa ajili ya dhambi zao;
unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo:
kila mwanadamu ni kama pumzi tu. 12“Ee Bwana, usikie maombi yangu,
usikie kilio changu unisaidie,
usiwe kiziwi kwa kulia kwangu.
Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni,
kama walivyokuwa baba zangu wote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.