Zaburi 38:5
Psalms 38:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.
Psalms 38:5 in English
Psalms 38:5 · Berean Standard Bible
My wounds are foul and festering because of my sinful folly.
Context
3Hakuna afya mwilini mwangu
kwa sababu ya ghadhabu yako,
mifupa yangu haina uzima
kwa sababu ya dhambi zangu. 4Maovu yangu yamenifunika
kama mzigo usiochukulika. 5Majeraha yangu yameoza na yananuka,
kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu. 6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana,
mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo,
hakuna afya mwilini mwangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.