Native Bible

Psalms 38:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.

Psalms 38:6 in English

Psalms 38:6 · Berean Standard Bible

I am bent and brought low; all day long I go about mourning.

Context

4Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika. 5Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu. 6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu. 8Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.