Native Bible

Psalms 38:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu.

Psalms 38:7 in English

Psalms 38:7 · Berean Standard Bible

For my loins are full of burning pain, and no soundness remains in my body.

Context

5Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu. 6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu. 8Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni. 9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.