Native Bible

Psalms 38:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako.

Psalms 38:9 in English

Psalms 38:9 · Berean Standard Bible

O Lord, my every desire is before You; my groaning is not hidden from You.

Context

7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu. 8Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni. 9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. 10Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza. 11Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.