Native Bible

Psalms 38:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza.

Psalms 38:10 in English

Psalms 38:10 · Berean Standard Bible

My heart pounds, my strength fails, and even the light of my eyes has faded.

Context

8Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni. 9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. 10Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza. 11Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami. 12Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.