Zaburi 38:12
Psalms 38:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa.
Psalms 38:12 in English
Psalms 38:12 · Berean Standard Bible
Those who seek my life lay snares; those who wish me harm speak destruction, plotting deceit all day long.
Context
10Moyo wangu unapigapiga,
nguvu zangu zimeniishia;
hata macho yangu yametiwa giza. 11Rafiki na wenzangu wananikwepa
kwa sababu ya majeraha yangu;
majirani zangu wanakaa mbali nami. 12Wale wanaotafuta uhai wangu
wanatega mitego yao,
wale ambao wangetaka kunidhuru
huongea juu ya maangamizi yangu;
hufanya shauri la hila mchana kutwa. 13Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia,
ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake, 14nimekuwa kama mtu asiyesikia,
ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.