Native Bible

Psalms 38:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake,

Psalms 38:13 in English

Psalms 38:13 · Berean Standard Bible

But like a deaf man, I do not hear; and like a mute man, I do not open my mouth.

Context

11Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami. 12Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa. 13Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake, 14nimekuwa kama mtu asiyesikia, ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu. 15Ee Bwana, ninakungojea wewe, Ee Bwana Mungu wangu, utajibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.