Zaburi 38:15
Psalms 38:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, ninakungojea wewe, Ee Bwana Mungu wangu, utajibu.
Psalms 38:15 in English
Psalms 38:15 · Berean Standard Bible
I wait for You, O LORD; You will answer, O Lord my God.
Context
13Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia,
ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake, 14nimekuwa kama mtu asiyesikia,
ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu. 15Ee Bwana, ninakungojea wewe,
Ee Bwana Mungu wangu, utajibu. 16Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie,
wala wasijitukuze juu yangu
mguu wangu unapoteleza.” 17Kwa maana ninakaribia kuanguka,
na maumivu yangu yananiandama siku zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.