Native Bible

Psalms 38:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, wala wasijitukuze juu yangu mguu wangu unapoteleza.”

Psalms 38:16 in English

Psalms 38:16 · Berean Standard Bible

For I said, “Let them not gloat over me— those who taunt me when my foot slips.”

Context

14nimekuwa kama mtu asiyesikia, ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu. 15Ee Bwana, ninakungojea wewe, Ee Bwana Mungu wangu, utajibu. 16Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, wala wasijitukuze juu yangu mguu wangu unapoteleza.” 17Kwa maana ninakaribia kuanguka, na maumivu yangu yananiandama siku zote. 18Naungama uovu wangu, ninataabishwa na dhambi yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.