Zaburi 38:18
Psalms 38:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naungama uovu wangu, ninataabishwa na dhambi yangu.
Psalms 38:18 in English
Psalms 38:18 · Berean Standard Bible
Yes, I confess my iniquity; I am troubled by my sin.
Context
16Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie,
wala wasijitukuze juu yangu
mguu wangu unapoteleza.” 17Kwa maana ninakaribia kuanguka,
na maumivu yangu yananiandama siku zote. 18Naungama uovu wangu,
ninataabishwa na dhambi yangu. 19Wengi ni wale ambao ni adui zangu hodari,
wale wanaonichukia bila sababu ni wengi. 20Wanaolipa maovu kwa wema wangu
hunisingizia ninapofuata lililo jema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.