Zaburi 38:20
Psalms 38:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanaolipa maovu kwa wema wangu hunisingizia ninapofuata lililo jema.
Psalms 38:20 in English
Psalms 38:20 · Berean Standard Bible
Those who repay my good with evil attack me for pursuing the good.
Context
18Naungama uovu wangu,
ninataabishwa na dhambi yangu. 19Wengi ni wale ambao ni adui zangu hodari,
wale wanaonichukia bila sababu ni wengi. 20Wanaolipa maovu kwa wema wangu
hunisingizia ninapofuata lililo jema. 21Ee Bwana, usiniache,
usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu. 22Ee Bwana Mwokozi wangu,
uje upesi kunisaidia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.