Native Bible

Psalms 38:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami.

Psalms 38:11 in English

Psalms 38:11 · Berean Standard Bible

My beloved and friends shun my disease, and my kinsmen stand at a distance.

Context

9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. 10Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza. 11Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami. 12Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa. 13Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.