Zaburi 38:8
Psalms 38:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimedhoofika na kupondwa kabisa, nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.
Psalms 38:8 in English
Psalms 38:8 · Berean Standard Bible
I am numb and badly crushed; I groan in anguish of heart.
Context
6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana,
mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo,
hakuna afya mwilini mwangu. 8Nimedhoofika na kupondwa kabisa,
nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni. 9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku
yako wazi mbele zako,
kutamani kwangu sana
hakufichiki mbele zako. 10Moyo wangu unapigapiga,
nguvu zangu zimeniishia;
hata macho yangu yametiwa giza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.