Native Bible

Psalms 38:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika.

Psalms 38:4 in English

Psalms 38:4 · Berean Standard Bible

For my iniquities have overwhelmed me; they are a burden too heavy to bear.

Context

2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenishukia. 3Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu. 4Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika. 5Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu. 6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.