Native Bible

Psalms 38:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu.

Psalms 38:3 in English

Psalms 38:3 · Berean Standard Bible

There is no soundness in my body because of Your anger; there is no rest in my bones because of my sin.

Context

1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako. 2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenishukia. 3Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu. 4Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika. 5Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.