Native Bible

Psalms 38:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.

Psalms 38:1 in English

Psalms 38:1 · Berean Standard Bible

O LORD, do not rebuke me in Your anger or discipline me in Your wrath.

Context

1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako. 2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenishukia. 3Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.