Native Bible

Psalms 37:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.

Psalms 37:3 in English

Psalms 37:3 · Berean Standard Bible

Trust in the LORD and do good; dwell in the land and cultivate faithfulness.

Context

1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 2kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara. 3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 4Jifurahishe katika Bwana naye atakupa haja za moyo wako. 5Mkabidhi Bwana njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.