Zaburi 37:4
Psalms 37:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jifurahishe katika Bwana naye atakupa haja za moyo wako.
Psalms 37:4 in English
Psalms 37:4 · Berean Standard Bible
Delight yourself in the LORD, and He will give you the desires of your heart.
Context
2kwa maana kama majani watanyauka mara,
kama mimea ya kijani watakufa mara. 3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema;
Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 4Jifurahishe katika Bwana
naye atakupa haja za moyo wako. 5Mkabidhi Bwana njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili: 6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko,
na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.