Native Bible

Psalms 37:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkabidhi Bwana njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili:

Psalms 37:5 in English

Psalms 37:5 · Berean Standard Bible

Commit your way to the LORD; trust in Him, and He will do it.

Context

3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 4Jifurahishe katika Bwana naye atakupa haja za moyo wako. 5Mkabidhi Bwana njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili: 6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 7Tulia mbele za Bwana na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.