Native Bible

Psalms 37:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara.

Psalms 37:2 in English

Psalms 37:2 · Berean Standard Bible

For they wither quickly like grass and wilt like tender plants.

Context

1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 2kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara. 3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 4Jifurahishe katika Bwana naye atakupa haja za moyo wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.