Native Bible

Psalms 37:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya,

Psalms 37:1 in English

Psalms 37:1 · Berean Standard Bible

Do not fret over those who do evil; do not envy those who do wrong.

Context

1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 2kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara. 3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.