Native Bible

Psalms 37:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa.

Psalms 37:15 in English

Psalms 37:15 · Berean Standard Bible

But their swords will pierce their own hearts, and their bows will be broken.

Context

13bali Bwana huwacheka waovu, kwa sababu anajua siku yao inakuja. 14Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa. 16Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.