Native Bible

Psalms 37:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu.

Psalms 37:14 in English

Psalms 37:14 · Berean Standard Bible

The wicked have drawn the sword and bent the bow to bring down the poor and needy, to slay those whose ways are upright.

Context

12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki na kuwasagia meno, 13bali Bwana huwacheka waovu, kwa sababu anajua siku yao inakuja. 14Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa. 16Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.