Native Bible

Psalms 37:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi;

Psalms 37:16 in English

Psalms 37:16 · Berean Standard Bible

Better is the little of the righteous than the abundance of many who are wicked.

Context

14Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa. 16Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki. 18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.