Native Bible

Psalms 37:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki.

Psalms 37:17 in English

Psalms 37:17 · Berean Standard Bible

For the arms of the wicked will be broken, but the LORD upholds the righteous.

Context

15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa. 16Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki. 18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele. 19Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.