Native Bible

Psalms 37:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.

Psalms 37:19 in English

Psalms 37:19 · Berean Standard Bible

In the time of evil they will not be ashamed, and in the days of famine they will be satisfied.

Context

17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki. 18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele. 19Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 20Lakini waovu wataangamia: Adui za Bwana watakuwa kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi. 21Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.