Native Bible

Psalms 37:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini waovu wataangamia: Adui za Bwana watakuwa kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi.

Psalms 37:20 in English

Psalms 37:20 · Berean Standard Bible

But the wicked and enemies of the LORD will perish like the glory of the fields. They will vanish; like smoke they will fade away.

Context

18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele. 19Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 20Lakini waovu wataangamia: Adui za Bwana watakuwa kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi. 21Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu. 22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi, bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.