Zaburi 37:21
Psalms 37:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu.
Psalms 37:21 in English
Psalms 37:21 · Berean Standard Bible
The wicked borrow and do not repay, but the righteous are gracious and giving.
Context
19Siku za maafa hawatanyauka,
siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 20Lakini waovu wataangamia:
Adui za Bwana watakuwa
kama uzuri wa mashamba,
watatoweka,
watatoweka kama moshi. 21Waovu hukopa na hawalipi,
bali wenye haki hutoa kwa ukarimu. 22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi,
bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu,
yeye huimarisha hatua zake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.