Native Bible

Psalms 37:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake,

Psalms 37:23 in English

Psalms 37:23 · Berean Standard Bible

The steps of a man are ordered by the LORD who takes delight in his journey.

Context

21Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu. 22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi, bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake, 24ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Bwana humtegemeza kwa mkono wake. 25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.