Zaburi 37:24
Psalms 37:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Bwana humtegemeza kwa mkono wake.
Psalms 37:24 in English
Psalms 37:24 · Berean Standard Bible
Though he falls, he will not be overwhelmed, for the LORD is holding his hand.*
Context
22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi,
bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu,
yeye huimarisha hatua zake, 24ajapojikwaa, hataanguka,
kwa maana Bwana
humtegemeza kwa mkono wake. 25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee,
lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa
au watoto wao wakiombaomba chakula. 26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti.
Watoto wao watabarikiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.