Zaburi 37:26
Psalms 37:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa.
Psalms 37:26 in English
Psalms 37:26 · Berean Standard Bible
They are ever generous and quick to lend, and their children are a blessing.
Context
24ajapojikwaa, hataanguka,
kwa maana Bwana
humtegemeza kwa mkono wake. 25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee,
lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa
au watoto wao wakiombaomba chakula. 26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti.
Watoto wao watabarikiwa. 27Acha ubaya na utende wema,
nawe utaishi katika nchi milele. 28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki
naye hatawaacha waaminifu wake.
Watalindwa milele,
lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.