Native Bible

Psalms 37:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Acha ubaya na utende wema, nawe utaishi katika nchi milele.

Psalms 37:27 in English

Psalms 37:27 · Berean Standard Bible

Turn away from evil and do good, so that you will abide forever.

Context

25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula. 26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa. 27Acha ubaya na utende wema, nawe utaishi katika nchi milele. 28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki naye hatawaacha waaminifu wake. Watalindwa milele, lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 29Wenye haki watairithi nchi, na kuishi humo milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.