Native Bible

Psalms 37:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye haki watairithi nchi, na kuishi humo milele.

Psalms 37:29 in English

Psalms 37:29 · Berean Standard Bible

The righteous will inherit the land and dwell in it forever.

Context

27Acha ubaya na utende wema, nawe utaishi katika nchi milele. 28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki naye hatawaacha waaminifu wake. Watalindwa milele, lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 29Wenye haki watairithi nchi, na kuishi humo milele. 30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 31Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; nyayo zake hazitelezi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.