Zaburi 37:31
Psalms 37:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; nyayo zake hazitelezi.
Psalms 37:31 in English
Psalms 37:31 · Berean Standard Bible
The law of his God is in his heart; his steps do not falter.
Context
29Wenye haki watairithi nchi,
na kuishi humo milele. 30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima,
nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 31Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake;
nyayo zake hazitelezi. 32Watu waovu huvizia wenye haki,
wakitafuta kuwaua; 33lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao
wala hatawaacha wahukumiwe
kuwa wakosa wanaposhtakiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.