Native Bible

Psalms 37:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu waovu huvizia wenye haki, wakitafuta kuwaua;

Psalms 37:32 in English

Psalms 37:32 · Berean Standard Bible

Though the wicked lie in wait for the righteous, and seek to slay them,

Context

30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 31Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; nyayo zake hazitelezi. 32Watu waovu huvizia wenye haki, wakitafuta kuwaua; 33lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa. 34Mngojee Bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.