Zaburi 37:34
Psalms 37:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mngojee Bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo.
Psalms 37:34 in English
Psalms 37:34 · Berean Standard Bible
Wait for the LORD and keep His way, and He will raise you up to inherit the land. When the wicked are cut off, you will see it.
Context
32Watu waovu huvizia wenye haki,
wakitafuta kuwaua; 33lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao
wala hatawaacha wahukumiwe
kuwa wakosa wanaposhtakiwa. 34Mngojee Bwana,
na uishike njia yake.
Naye atakutukuza uirithi nchi,
waovu watakapokatiliwa mbali,
utaliona hilo. 35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi
kama mwerezi wa Lebanoni, 36lakini alitoweka mara na hakuonekana,
ingawa nilimtafuta, hakupatikana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.