Native Bible

Psalms 37:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini alitoweka mara na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana.

Psalms 37:36 in English

Psalms 37:36 · Berean Standard Bible

yet he passed away and was no more; though I searched, he could not be found.

Context

34Mngojee Bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo. 35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi kama mwerezi wa Lebanoni, 36lakini alitoweka mara na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 37Watafakari watu wasio na hatia, wachunguze watu wakamilifu, kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, mafanikio yao yatakatiliwa mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.