Zaburi 37:38
Psalms 37:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, mafanikio yao yatakatiliwa mbali.
Psalms 37:38 in English
Psalms 37:38 · Berean Standard Bible
But the transgressors will all be destroyed; the future of the wicked will be cut off.
Context
36lakini alitoweka mara na hakuonekana,
ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 37Watafakari watu wasio na hatia,
wachunguze watu wakamilifu,
kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa,
mafanikio yao yatakatiliwa mbali. 39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana,
yeye ni ngome yao wakati wa shida. 40Bwana huwasaidia na kuwaokoa,
huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi,
kwa maana wanamkimbilia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.