Native Bible

Psalms 37:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwasaidia na kuwaokoa, huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, kwa maana wanamkimbilia.

Psalms 37:40 in English

Psalms 37:40 · Berean Standard Bible

The LORD helps and delivers them; He rescues and saves them from the wicked, because they take refuge in Him.

Context

38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, mafanikio yao yatakatiliwa mbali. 39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, yeye ni ngome yao wakati wa shida. 40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, kwa maana wanamkimbilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.