Native Bible

Psalms 37:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, yeye ni ngome yao wakati wa shida.

Psalms 37:39 in English

Psalms 37:39 · Berean Standard Bible

The salvation of the righteous is from the LORD; He is their stronghold in time of trouble.

Context

37Watafakari watu wasio na hatia, wachunguze watu wakamilifu, kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, mafanikio yao yatakatiliwa mbali. 39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, yeye ni ngome yao wakati wa shida. 40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, kwa maana wanamkimbilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.