Native Bible

Psalms 37:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi kama mwerezi wa Lebanoni,

Psalms 37:35 in English

Psalms 37:35 · Berean Standard Bible

I have seen a wicked, ruthless man flourishing like a well-rooted native tree,

Context

33lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa. 34Mngojee Bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo. 35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi kama mwerezi wa Lebanoni, 36lakini alitoweka mara na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 37Watafakari watu wasio na hatia, wachunguze watu wakamilifu, kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.