Native Bible

Psalms 37:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa.

Psalms 37:33 in English

Psalms 37:33 · Berean Standard Bible

the LORD will not leave them in their power or let them be condemned under judgment.

Context

31Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; nyayo zake hazitelezi. 32Watu waovu huvizia wenye haki, wakitafuta kuwaua; 33lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa. 34Mngojee Bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo. 35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi kama mwerezi wa Lebanoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.