Zaburi 37:13
Psalms 37:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
bali Bwana huwacheka waovu, kwa sababu anajua siku yao inakuja.
Psalms 37:13 in English
Psalms 37:13 · Berean Standard Bible
but the Lord laughs, seeing that their day is coming.
Context
11Bali wanyenyekevu watairithi nchi
na wafurahie amani tele. 12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki
na kuwasagia meno, 13bali Bwana huwacheka waovu,
kwa sababu anajua siku yao inakuja. 14Waovu huchomoa upanga
na kupinda upinde,
ili wawaangushe maskini na wahitaji,
kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe,
na pinde zao zitavunjwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.