Native Bible

Psalms 37:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu hula njama dhidi ya wenye haki na kuwasagia meno,

Psalms 37:12 in English

Psalms 37:12 · Berean Standard Bible

The wicked scheme against the righteous and gnash their teeth at them,

Context

10Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana. 11Bali wanyenyekevu watairithi nchi na wafurahie amani tele. 12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki na kuwasagia meno, 13bali Bwana huwacheka waovu, kwa sababu anajua siku yao inakuja. 14Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.