Zaburi 37:11
Psalms 37:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali wanyenyekevu watairithi nchi na wafurahie amani tele.
Psalms 37:11 in English
Psalms 37:11 · Berean Standard Bible
But the meek will inherit the land * and delight in abundant prosperity.
Context
9Kwa maana waovu watakatiliwa mbali,
bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi. 10Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana,
ingawa utawatafuta, hawataonekana. 11Bali wanyenyekevu watairithi nchi
na wafurahie amani tele. 12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki
na kuwasagia meno, 13bali Bwana huwacheka waovu,
kwa sababu anajua siku yao inakuja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.