Native Bible

Psalms 36:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.

Psalms 36:9 in English

Psalms 36:9 · Berean Standard Bible

For with You is the fountain of life; in Your light we see light.

Context

7Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mbawa zako. 8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru. 10Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo. 11Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.